TANZANIA KWA YESU
Monday, December 28, 2015
Wednesday, January 1, 2014
UJUMBE KUTOKA KWA BWANA KWENDA KWA WACHUNGAJI,MAASKOFU NA WAKRISTO
UJUMBE KUTOKA KWA BWANA KWENDA KWA WACHUNGAJI,MAASKOFU NA WAKRISTO:
Na Dr. Augusto Maquengo
Na Dr. Augusto Maquengo
HIVYO ASEMA BWANA MUNGU WA MAJESHI KWA Wachungaji,Wainjilisti, Maaskofu,na watumishi wengine: HASIRA YANGU ITAWAHARIBU NA HAMTANYAKULIWA,SABABU MMEZIACHA NJIA ZANGU NA MMEFANYA KONDOO WANGU (WAKRISTO) MALI ZENU BINAFSI NA CHANZO CHENU CHA UTAJIRI,KWAHIYO MIMI BWANA SINTACHUKUWA WACHUNGAJI,WAINJILISTI,NA WATUMISHI WALIOOLEWA NA MALI BADALA YA UJUMBE WA TOBA, NA KUKENGEUKA,UJIO WANGU NA UNYAKUO. Wachungaji wamemsahau Mungu wao na utukufu kwenye nguvu ambazo mimi nimewapa,badala ya kunipa mimi utukufu wote na heshima.Manabii wanatabiri uongo,Vingozi wanatunga sheria zao wenyewe;na watu wangu wanazipenda kama zilivyo.Ninyi mtafanya nini mwisho wake? ( jeremiya 5:31)
KANISA WANALOSEMA NI NYUMBA YANGU ,LIMEKUWA NYUMBA YA SANAA LIKIWA NA WATUNZI WAKE KAMA WACHUNGAJI,MAASKOFU NA MASHEMASI WA KANISA. WANAKULA,KUNYWA NA KUSHEREHEKEA KWENYE NYUMBA YANGU NA WAPO BILA WASIWASI,HOFU AU HESHIMA KWANGU. OH, UTUKUFU WANGU UMEYAACHA MAHEKALU YAO NA UWEPO WANGU ULISHA YAACHA MAKANISA YAO MDA. HAWATANYAKULIWA KAMA HAWATAOMBOLEZA NA KULIA KWA HUZUNI YA TOBA KWANGU MIMI MUNGU WAO.
WATUMISHI WANGU WAMEVURUGWA NA DUNIA NA WANAPANGA BADO KUINGIZA MAWAZO YA ULIMWENGU KWENYE KANISA.WANASHEREHEKEA SIKUKUU YA WAPENDANAO KANISANI(VALENTINE’S DAY). NA WANASHEHEREKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WAONGO KANISANI,NA WANASEMA SIKU YA MAOMBOLEZO;LEO NI SIKU YA MSIBA NA KWAHIYO TUVAE NGUO NYEUSI,WOT E NI WAMEVURUGWA.
Wachungaji,wainjilisti na maaskofu wanatabiri ni muda wa kupokea,muda wauponyaji na mafanikio WAKATI YANAKUJA MAANGAMIZI KWENYE DUNIA ,MATESO MABAYA,NA UARIBIFU WA DUNIA. WATU WANGU HAWASIKILIZI ZAIDI KTOKA KWANGU,WAMEJINAJISI WENYEWE NA DUNIA KIASI KWAMBA WAMEACHA NJIA ZANGU.HAWANITAFUTI
KATIKA MAOMBI,KUFUNGA,NA KUTAFAKARI NENO LANGU.WANAFUNGA TU WAKIWA WANANITAKA ZAWADI ZA UPONYAJI ,MIUJIZA NA TABIRI KWA FAIDA ZAO WENYEWE. NA HATA WANASEMA; Nitaandaa ujumbe wa kuhubiri.Nitaandaa mkutano.Nipo busy na kuwachakata waamini NA HAWANA MUDA NA MIMI,MMILIKI WA KONDOO. HAWA WACHUNGAJI HAWATACHUKULIWA,SAYS THE LORD OF HOSTS. KAMA UNAHOFU YANGU,BASI RARUA MAVAZI YAKO,RARUA MOYO WAKO,FIKRA ZAKO KWA MACHOZI YA TOBA. NATAKA SIKU YA TOBA YA KANISA KITAIFA,MAOMBOLEZO NA MAJONZI.JIVIKENI MAVUMBI NA LIENI KWA TOBA,VINGINEVYO HAMTAENDA NA MIMI MBINGUNI.
KONDOO WANGU WANAKULA UOZO,VYAKULA VILIVYO LOGWA KUTOKA KWENYE JUMBE ZA MAFANIKIO ZA WATUMISHI WANGU NA HAWA WACHUNGAJI WANAWEKEZA MAMBO YA MBELENI KWA MIRADI YA UJENZI WA MAKANISA HAWAJUI KWAMBA MIRADI YOTE HII ITAINGILIWA GHAFLA NA UHARIBIFU NA MAJANGA.BAADA YA KUOKOA BIBI HARUSI WANGU KUTOKA KWENYE HII DUNIA, MIRADI YOTE HII YA UJENZI ITAJEUKA SI KITU. ITAKUWA NI UWEKEZAJI HEWA USIYO ZAA CHOCHOTE.BADALA YAKE WEKEZA KWENYE KUHUBIRI KWELI, NA NENO LA UZIMA LISILO CHAKACHULIWA,HUBIRI BADALA YAKE UTAJIRI WA NAFSI NA ROHO KUPITIA TOBA NA UZIMA WA MILELE. HIVYO ASEMA BWANA,NI JINSI GANI NINAVYOMPENDA BIBI HARUSI WANGU ANAYENITAFUTA KILA SIKU NA KUOGOPA JINA LANGU TAKATIFU!!
MUDA UMEKWISHA.MUDA UMEMALIZIKA. SAA INAKUJA SASA, AMBAPO NITACHUKUA BIBI HARUSI WANGU. PUNDE BAADA YA TUKIO HILI,MAANGAMIZI,MAJANGA NA MATESO YA KUSTAAJABISHA,YATAHARIBU MAISHA NA MAISHA. KIPINDI AMBACHO ADUI YANGU ATACHUKUA NAFASI ,HAKUNA TENA MUDA WA KUNITAFUTA,SABABU SINTAJIBU MAOMBI YOYOTE,REHEMA ITAONDOLEWA,NA ROHO MTAKATIFU HATAKUWA TENA DUNIANI.NA ADUI ATASHIKA HATAMU NA MTASAGA MENO NA KUOMBOLEZA KATIKA MIYOYO,KUTESEKA NA KUKATA TAMAA. VUNJENI MIYOYO YENU SASA NA IACHENI IBUBUJIKE DAMU KWA TOBA,IVUENI MIYOYO YENU KWA TOBA KWA MUDA HUU WA PILI WA MUDA ULIOBAKI,VINGINEVYO HASIRA MBAYA ITAWAANGUKIENI.
Lakini hawa watu wana moyo wa kuasi na ukaidi,wameasi wamekwenda zao.wala hawasemi mioyoni mwao,basi na tumche BWANA MNGU wetu aletaye mvua,mvua ya mwaka na mvua ya vuli kwa wakati wake,na kutuwekea juma za
mavuno zilizo amriwa. Maovu yenu yameyageuza haya,na dhambi zenu zimeyazuhilia mema msiyapate. Maana katika watu wangu wameonekana watu waovu;huotea kama watu wategao mitego,na kunasa watu.kama tundu lijaavyo ndege,kadhalika nyumba zao zimejaa hil;ka hiyo wamekuwa wakuu wamepata mali. Wamewanda sana,wang’aa;naam,wamepita kiasi kwa matendo maovu;hawatetei madai ya yatima,ili wapate kufanikiwa,wala hawaamui haki ya muhitaji.(Jeremia 5:24-28)
HAUTANYAKULIWA,ASEMA BWANA,HATA UTAKAPOACHA NJIA ZAKO NA KUTUBU.
Sintanyakua waliyo-olewa na televisheni,picha(movies) na starehe ambazo zinatumia mda wako mwingi na huna muda na mimi MUNGU wako,na neno langu.
Sintanyakua wakristo wanaofanya MUNGU kanisani Jumapili KUJIEPUSHA NA HASIRA YANGU KWENYE MAISHA YAO NA WANAFIKIRI MIMI MUNGU SIONI NAKUYAJUA HAYO,wanakwenda kanisani tu,kuonyesha uzuri wa mavazi yao ya mtoko na kufanya mazungumzo na marafiki. NYUMBA yangu imekuwa kilabu ya mtandao wa kijamii.
MIMI, YESU KRISTO,BWANA wako sinyanyakua hawa wanaotumia masaa na masaa kwenye TV na novo na vitu vingine,sababu vimekuwa kama MSHAURI WENU,NOVO NA MAFUNZO YA KISAYANSI BADALA YA KUWA NA ROHO MTAKATIFU KAMA RAFIKI YENU MKUBWA.
Kila muamini ambaye anasahau kumtafuta ROHO MTAKATIFU na ana TV kama rafiki yake mkubwa na mawazo mengine ya sayansi za kishetani badala ya NENO LANGU ataachwa nyuma akumbane na mpinga Kristo na CHAPA YA MNYAMA.
Pepo wamefanikiwa kujipenyeza katika ya kanisa na kanisa la leo limegubikwa na mafunzo yenye sura ya theologia ya kishetani,BADALA YA NENO,NA SURA YANGU MIMI,BWANA YESU. KANISA KAMA HILI LITAACHWA NYUMA.
HAWA,ambao wanaishi maisha yao wakiinadi miili yao na mavazi yasiokuwa na heshima, wakionyesha maziwa na kuonyesha miili yao; HII KABISA NI FAHARI YA DUNIA. Hawa wakristo wananiambia mimi,MUNGU wao: MUNGU,tayari nimeshakupa moyo wangu inatosha. Sehemu yangu ya nje nitaijali mwenyewe kwa kuvaa ninavyotaka. NATAKA IFAHAMIKEA WAZI KWAMBA NIMESHAKUACHA KUISHI NA KUFURAHI NA DUNIA NA KUKAA NAYO. HUJUI MIMI NI MUNGU MWENYE WIVU?NAVUMILIA WIVU KWENU NYOTE LAKINI KUNISHIRIKISHA PAMOJA NA DUNIA,HAKIKA SINTAVUMILIA.
Kila muumini aliyenifanya mimi doli lake na kusema katika akili yake;MUNGU sio mbaya kiasi hicho hata asijue tunaishi karne ya 21 leo,na kwamba Duniani tunaishi kama hivi. WAKATI WA NUHU ILIKUWA MBAYA KIDOGO KULIKO LEO,WAKATI WA LUTU ILIKUWA MBAYA KIDOGO KULIKO LEO,KWAHIYO TUBU VINGINEVYO HUTAKUWA NA KISINGIZIO.
SINTACHUKUA HAWA WANAO NUNUA,KUUZA NA KUCHEZA MICHEZO SIKU YANGU TAKATIFU YA KUABUDU JUMAPILI AU JUMAMOSI,VYOVYOTE VIONGOZI WENU WALIVYOTENGA NYIE MNIABUDU MIMI ,INAPASWA IWE KWA AJILI YANGU MIMI PEKE YANGU,MIMI MUNGU WAKO. Hii siku LAZIMA IWEKWE WAKFU KWA AJILI YANGU PEKE YANGU.WATU HAWANIHESHEMU MIMI BWANA WAO NA MUNGU WAO. WANANIAMBIA NA KUBISHANA NA WATUMISHI WANGU;Hii ni sheria lakini tupo kwenye kipindi cha rehema. BWANA WAKO HAWEZI KUHESHIMIWA NA KUTUMIKIWA? JE REHEMA NI KUMAANISHA KUTOMUHESHIMU MUNGU WAKO? MNABISHANA NA MIMI HATA KWENYE MAOMBI KAMA MTAKAVYOBISHANA MKIONA UJUMBE HUU.
SINTACHUKUA WAONGO,VIBURI, VANITY BELIEVERS AMBAO MARAFIKI ZAO WAKUBWA NI WATU WA MATAIFA WALIOJINAJISI WENYEWE NA DUNIA.MIMI,BWANA NA MUNGU WAKO NILIKUAMURU KWENYE NENO LANGU JITENGE NAO,NA MSIFUNGAMANE NIRA NA WASIOAMINI.Soma Wakorintho II, 6:14-17
SINTACHUKUA WANAO-ONGEZA MANENO KWENYE KWELI NA HAKIKA ,WASENGENYAJI WA WATUMISHI NA WACHUNGAJI AMBAO WANANITUMIA KWA KWELI NA KUBEBA NENO LANGU. OLE WAKE AMBAYE ANAONGEZA NA KUTOA KUTOKA KWENYE NENO LA UNABII WANGU.
MIMI YESHUAH MASIYA,MUNGU WAKO, NA WENGINE HAKUNA
JIANDAE, JIANDAE, NAKUJA PUNDE!
Subscribe to:
Posts (Atom)